Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Wachezaji Wote Wazuri Wanahamia Yanga, Zamu ya Kipa Masalanga
HABARI ZA MICHEZO

Wachezaji Wote Wazuri Wanahamia Yanga, Zamu ya Kipa Masalanga

January 18, 2026January 19, 2026 ajirayako

Mlinda lango wa zamani wa klabu ya Singida Black Stars na timu ya Taifa ya Tanzania Hussein Masalanga ametambulishwa na klabu ya Yanga kuwa nyota mpya wa klabu hiyo.

Masalanga aliisaidia Taifa Stars kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya AFCON kwa mara ya kwanza na kuandika historia ya kuwa golikipa wa kwanza kucheza hatua ya 16 bora ya michuano ya AFCON akiwa na Taifa Stars.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

SportPesa’s Aviator New Limits Attract Millions in Tanzania

February 11, 2026February 11, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Hatimaye Simba Wampa Kibu Denis Mkono wa Kwaheri

February 10, 2026February 10, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Nilipoteza Kila Kitu kwa Wiki Moja Lakini Njia Moja Ilinirudisha Kwenye Maisha Tena
Next: Nilipoteza Nguvu Zangu Polepole Mpaka Kioo Kilipoonyesha Kitu Ambacho Sikuwa Mimi

Popular Posts

  • Harmonize Aeleza Yote Alivyorudiana na Kajala! Alivyombadilisha “Nafaidika zaidi, Karata ya Mwisho”

  • Hizi Hapa Hesabu Konki za Yanga Kufuzu Robo Fainali Klabu Bingwa

  • Mangungu Noma na Nusu Awajibu Wanaotaka Ajiuzulu

  • Hivi Ndivyo Mtoto wa Gaddafi, Saif al-Islam Alivyouawa Nyumbani Kwake Libya

  • Uhasama Usioisha: Kwanini Donald Trump anamchukia sana Barack Obama

  • Tahadhari ya Mvua Kubwa Mikoa sita, Wananchi Watahadhirishwa Kukaa Kiaskari

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.