Purity Chepkemoi, mkazi wa Nakuru, anasema kwa muda mrefu alikuwa akipitia changamoto ya kukataliwa katika mahusiano. Kila alipoanza uhusiano mpya, mambo yalionekana kwenda vizuri mwanzoni lakini ghafla mwanaume alibadilika na kuondoka bila sababu ya wazi.
SOMA ZAIDI HAPA
“Wanasema Mimi ni Mwanamke na Sina Utamu” Mwanamke Kulia Akisema Anaomba Wanaume Wamuoe
