Jina langu ni George. Mimi ni mkazi wa Moshi na kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta njia ya kuanzisha biashara yangu mwenyewe. Nilikuwa nimechoka sana na kazi za vibarua ambazo zilikuwa hazina uhakika wa kipato.
Nilikuwa nafanya kazi hapa na pale, wakati mwingine kwenye ujenzi, wakati mwingine nikibeba mizigo sokoni.
Lakini ukweli ni kwamba pesa nilizokuwa napata hazikuwa zinatosha kabisa kuendesha maisha yangu na…SOMA ZAIDI
