Wenyeji wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 wametoshana nguvu na Mali kwa sare ya 1-1 katika dimba la Prince Moulay Abdellah wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 69,500
FT: Morocco 🇲🇦 1-1 🇲🇱 Mali
⚽ 45+5’ Diaz (P)
⚽ 64’ Sinayoko (P)
MSIMAMO KUNDI A (baada ya mechi mbili)
- 🇲🇦 Morocco 4pts (+2)
- 🇲🇱 Mali 2pts (0)
- 🇿🇲 Zambia 2pts (0)
- 🇰🇲 Comoros 1pt (-2)
