YANGA WALIFIKA FAINALI KWA BAHATI TU-ORUMA
Mchambuzi wa Soka Nchini Wilson Oruma Amesema Klabu ya Yanga ilifika Fainali Kombe la Shirikisho kwa bahati Tu.
Oruma Amesema hayo wakati akihojiwa na kituo cha Television cha tvetanzania.
“Yanga walifika Fainali kwa bahati ndiyo maana Hawana Muendelezo mzuri , Msimu Uliopita Wameishia makundi CAFCL”
Wilson Oruma Maarufu “Mzee wa Jambia” – Mchambuzi

