IFFHS imeachia hadharani orodha ya Klabu 500 bora Duniani kuanzia Disemba Mosi,2024 hadi Novemba 30,2025 ambapo Afrika imejumuisha Klab7 31,Yanga wakiwa nafasi ya 7 wakati Simba ikikamata nafasi ya 11.
.
Kwa Afrika,Pyramids ndio Vinara na ni ya 30 Duniani.
.
Vipi kwa mwenendo ulivyo,unaiona Yanga kuendelea kuitawala Simba kwenye viwango au kuna namna baada ya uchaguzi Mkuu mnyama atabadilika?
