Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Uncategorized
  • 50 Cent Amtaja Diddy kuwa Adui yake Anayempenda
Uncategorized

50 Cent Amtaja Diddy kuwa Adui yake Anayempenda

December 10, 2025December 10, 2025 Udaku Special

50 Cent ameongea hilo kwenye Interview aliyofanya baada ya kuulizwa kuhusu shujaa wake na mhalifu anayemkubali ambapo amemtaja Diddy.

Tayari 50 Cent ameachia Documentary ya ‘Sean Combs: The Reckoning’ inayohusu maisha ya Diddy, kufeli kwake, matukio yaliyomtokea na kesi zilizompeleka gerezani.

Zaidi ya miaka sasa 50 Cent na Diddy hawapikiki chungu kimoja,hawana uhusiano mzuri, chuki na utani wa kudhalilishana hadharani kati yao.

Related Posts

Uncategorized

Timu ya Simba Yatangaza Kocha Mpya Rais wa Afrika Kusini

December 19, 2025December 19, 2025 ajirayako
Hali ya Hewa Uncategorized

TMA Yatoa Utabiri Hali ya Hewa Siku 10 Zijazo

December 11, 2025December 11, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Vitalis Mayanga Afungiwa Mechi Tano na Kutozwa Faini
Next: Mwijaku Ameachana na Mke Wake! Ajiita Single Boy “Tumeachana Miezi Mitatu iliyopita” Amtaka Mzungu

Popular Posts

  • Msanii Huyu Maarufu Afariki Dunia

  • HARMONIZE na Paula Wamaliza tofauti zao wapeana MIKONO, Paula ndio muandaaji wa Shughuli Yote hii

  • HUZUNI Kubwa, Watu Wawili Waliofariki kwenye AJALI ya Anthony Joshua Kumbe ni Makocha na Marafiki zake

  • Taifa Stars Baada ya Kufuzu hatua ya 16 Bora ya AFCON itavuna Bilioni 1.9

  • Chadema Wakusanya Milioni 14 Ndani ya Masaa 24 Kwa Ajili ya Tundu Lissu

  • TMA Yatoa Tahadhari ya Mvua Kubwa Mikoa 20

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.