Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Rais wa Senegal Atuma Salamu CAF, Atishia Kugomea Mashindano
HABARI ZA MICHEZO

Rais wa Senegal Atuma Salamu CAF, Atishia Kugomea Mashindano

March 18, 2026 Udaku Special

 

Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametoa tamko kwa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) kufuatia uamuzi wa kushtua wa kuipokonya nchi yake taji la AFCON 2025 na kuwapa Morocco.

Katika kauli iliyosambaa katika mitandao ya kijamii, Rais Faye amenukuliwa akisema: “Kama CAF haitabadilika na kuendelea kunyonya na kuingiza rushwa katika soka la Afrika, Senegal haitashiriki tena michuano yoyote ya CAF. Sisi si dhaifu wala waoga tena!”

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Shaffih Dauda Amtetea Doumbia ‘Anahitaji Subira, Siyo Presha’

September 14, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Mkiisifia Simba, Kumbukeni Singida Black Imemla Mtu Kichwa Mabao 10 – 1

September 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Drogba Atoa Kauli Kupokonywa UBINGWA Senegal
Next: Mfanya biashara wa Malindi aliyekuwa na mikosi ya wateja asema sasa biashara yake imejaa

Popular Posts

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariff majini Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

  • Hawa Hapa Majambazi Wenye AKILI Nyingi zaidi Kuwahi Kutokea Duniani

  • Manqoba Atoa Maagizo Mazito Yanga Dhidi ya Gaborone United

  • Watu Wanne Wafariki Kwenye Ajali ya Basi la Abood na IST Bunju

  • Nani Kuondoka na Ushindi Leo?

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.