shirikisho la soka nchini Senegal limepigwa f faini ya dola 300,000 [TSh. Milioni 76O ] kwa utovu wa nidhamu uliofanywa na mashabiki
Hapo hapo kuna Dola 300,000 nyingine pia [Tsh 760 Milioni ] kwa tabia ya utovu wa nidhamu kwa wachezaji wake na wafanyakazi wa benchi la ufundi.
Wametozwa pia faini ya Dola 15,000 ambayo inafanya jumla iwe Dola 615 ,000 sawa na [ Tsh Bilioni 1.5]
