Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA SIASA
  • Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11
HABARI ZA SIASA

Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11

February 9, 2026February 9, 2026 Udaku Special

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kesi Na. 19605/2025), imeahirishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam.
.
Ahirisho limetokana na upande wa Jamhuri kujibu pingamizi la mshitakiwa kuhusu Shahidi wa Siri, lililowasilishwa Novemba 2025.
.
Wakili wa Serikali, Nasorro Katuga, ameomba pingamizi hilo litupiliwe mbali kwa kukosa msingi. Mahakama itatoa uamuzi Jumatano, Februari 11, saa tatu asubuhi.

Related Posts

HABARI ZA SIASA

Msukuma awaonya matajiri wa Katoro wanaorusha fedha

September 16, 2026 Udaku Special
HABARI ZA SIASA

Jaji Warioba Aanguka Wakati Akihutubia Mkutano

September 7, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Tundu Lissu “Nimekaa Gerezani Siku 307, Kesi Imesikilizwa Siku 14 tu”
Next: Paul Makonda “Tumepokea CV Nyingi Lakini Tumeamua Kubaki na Gamondi”

Popular Posts

  • Makala: Nashiriki Ngono na Wanaume 30 Per Day Nilishe Familia Yangu

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • Ukweli Mchungu! MATAIFA Makubwa yanayoimiliki AFRIKA Kimya Kimya | Makala 360

  • MAKALA: Siri ya Anguko la Mabasi ya Scandinavia Express | Kutoka Mabasi Zaidi ya 100 Hadi Kutoweka!

  • Makala Nzima Kuhusu Baltasar Ebang Engonga, Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 400 na Kurekodi

  • Harmonize Atamba na Penzi Jipya

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.