Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA SIASA
  • Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11
HABARI ZA SIASA

Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11

February 9, 2026February 9, 2026 Udaku Special

Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu (Kesi Na. 19605/2025), imeahirishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam.
.
Ahirisho limetokana na upande wa Jamhuri kujibu pingamizi la mshitakiwa kuhusu Shahidi wa Siri, lililowasilishwa Novemba 2025.
.
Wakili wa Serikali, Nasorro Katuga, ameomba pingamizi hilo litupiliwe mbali kwa kukosa msingi. Mahakama itatoa uamuzi Jumatano, Februari 11, saa tatu asubuhi.

Related Posts

HABARI ZA SIASA

Serikali ya Trump Kufuta VISA za Wageni Walioomba Hifadhi Marekani

August 25, 2026August 25, 2026 Udaku Special
HABARI ZA SIASA

BREAKING: Nchimbi Atangaza Kujiuzulu Nafasi ya Makamu wa Rais

August 25, 2026August 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Tundu Lissu “Nimekaa Gerezani Siku 307, Kesi Imesikilizwa Siku 14 tu”
Next: Paul Makonda “Tumepokea CV Nyingi Lakini Tumeamua Kubaki na Gamondi”

Popular Posts

  • Kwa Nini Marubani wa Ndege Hula Chakula Tofauti Wanapokuwa Safarini?

  • Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

  • MATOKEO ya Simba na Singida Black Stars Leo Tarehe 22 August 2026

  • Mayele Afichua Kilichomshawishi Kusajiliwa Libya

  • Mr. Kuku Afunguka: Siri ya Anguko Lake Hadi Kufilisiwa Bilioni 5

  • TFF Yamfungia Jamal Bakhresa Kujishughulisha na Mpira Kwa Mwaka Mmoja

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.