STEVE Nyerere Atupa Dongo “Gari Unanunua ya Milioni 800, Nyumba ya Kupanga, Ukiumwa Unatusumbua”

STEVE Nyerere Atupa Dongo "Gari Unanunua ya Milioni 800, Nyumba ya Kupanga, Ukiumwa Unatusumbua"
STEVE Nyerere Atupa Dongo “Gari Unanunua ya Milioni 800, Nyumba ya Kupanga, Ukiumwa Unatusumbua”

Kutoka kwa @stevenyerere2

“Mstafuuu,..Hakuna Binadamu Ambaye Hana Ndoto ya kuondesha Gari zuri,..Ndoto Yangu Hata Mimi siku.

1 Natamani lakini Vipato vinatofautiana Sana,..Lakini Kila nikiangalia hili gari najiuliza ni kweli nimemaliza Majukumu yangu Yatakayo nifanya hata siku sina Nikapata hivi wewe Mwenzangu na Mie kabisa ni kweli kumiliki gari la Milion 800 Lakini Parking yake ni Nyumba ya Kupanga Unajiskiaje ,.So Natamani Kuwakumbusha kuwa hakuna baba mwenye gari wala Mama mwenye Gari, Natamani sana kumiliki lakini kila mtu Mungu Kamjalia kipato Chake ,….

Ukibalikiwa Anza kuwekeza kwa kesho yako, Ivi Ukikaaa Ukajiuliza na Ukawaza Na Bima Ya Afya Itakayonifanya Nikiumwa nisisumbue watu ,Unaenda Mbali zaidi Napakulala Pa Maisha Yangu,..Je Nabiashara zitakazo nifanya Nile na Kuvaaa ,. .Magari Mazuri Yapo na Bahati Mbaya kila kukicha Unaweza kusema Sasa kufuru lakini Tambua watu wapo Kazini Kuwaletea kila Aina Ya gari ,…

Unajua service ya gari unayonunua Ni bei gani ,. Ukipiga hesabu Utagundua Ile service tu ni sawa na Kujenga Nyumba 10 ,…Narudia sisemi hili kwa kuwa sina hapana Tunakumbushana Kama Family,…mm

Wenzetu wanaomiliki Haya kwanza sio Magari yao ya kutoka nayo kila siku Inamaana Uwani wanayo kama 10 na kikubwa zaidi Wana vitu vingi Vinavyo waingizia Kipato ,..

Ukiamua kuiga Iga Ila fanya hivo ukiwa mambo au majukumu yako yote Umemaliza,….Unanunua gari la Milion 800 halafu Ukiumwa Tunasumbua Watanzania,…”

Related Posts