Mwalimu mrembo aliyekuwa akihairishiwa harusi kama mechi za mchangani

Naitwa Evelyne, mwalimu wa sekondari hapa mkoani Morogoro. Kwa miaka mingi, nimekuwa nikiishi kwa aibu ya ajabu; nimekuwa mtaalam wa kupoteza wachumba. Mara tatu mfululizo, nimevishwa pete, tukapanga tarehe, tukachagua hadi kumbi za harusi, lakini zikiwa zimebaki wiki mbili, mwanaume anapotea au anatoa sababu isiyo na mashiko na kuvunja mahusiano.

Hali hii ilinifanya nianze kuchekwa na wafanyakazi wenzangu, wakiniita “bibi harusi wa…SOMA ZAIDI

Related Posts