Jina langu ni Peter. Mimi ni fundi seremala kutoka Moshi, na kwa zaidi ya miaka kumi maisha yangu yalitegemea kazi ya mikono. Nilikuwa najenga makabati, vitanda, meza na milango ya mbao. Ilikuwa kazi ambayo nilipenda sana kwa sababu ilinisaidia kulisha familia yangu.
Lakini kuna kipindi kilifika ambapo mwili wangu ulianza kunisaliti, hasa mgongo wangu. Na hapo ndipo maisha yangu yalipoanza…SOMA ZAIDI
