Ali Salim, mfanyabiashara wa bidhaa za urembo mjini Malindi, anasema kwa muda mrefu alikumbana na changamoto isiyoeleweka ambapo wateja wake walipungua ghafla.
Kwa mujibu wake, biashara yake ilikuwa ikifanya vizuri hapo awali, lakini hali ilibadilika bila sababu ya wazi. Wateja waliokuwa wa…SOMA ZAIDI
