Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City Yaichapa Vibaya Nairobi City Thunder

Dar City Yaichapa Vibaya Nairobi City Thunder
Dar City Yaichapa Vibaya Nairobi City Thunder

Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City imeshinda mechi yake ya pili mfulululizo kwenye michuano ya mpira wa kikapu ya vilabu barani Afrika (Basketball Africa League) ya mwaka 2026 inayoendelea Nchini Afrika Kusini baada ya kuilaza Nairobi City Thunder ya Kenya kwa vikapu 90-85.

Dar City ya Nchini ya Nchini Tanzania sasa inakabiliwa na kibarua dhidi ya miamba ya Nchini Libya, Al Ahly Benghazi mchezo utakaopigwa Machi 31, 2026.

Related Posts