Itali Yashindwa Kufuzu Kombe la Dunia la FIFA Kwa Mara ya Tatu Mfulululizo

 

Timu ya Taifa ya Italia imeshindwa kufuzu kushiriki fainali za Kombe la Dunia la FIFA Kwa mara ya tatu mfulululizo (2018, 2022 na 2026) baada ya kuondoshwa kufuatia kipigo cha penalti 4-1 dhidi ya Bosnia & Herzegovina fainali ya mchujo wa mwisho.

Kwingineko Jamhuri ya Czech imeungana na Bosnia & Herzegovina kukata tiketi ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Denmark kwenye mchujo wa mwisho.

Bosnia 🇧🇦 1-1 🇮🇹 Italy (P: 4-1)
⚽ 79’ Tabakovic
⚽ 15’ Bastoni
🟥 41’ Bastoni

FT: Czech Republic 🇨🇿 1-1 🇩🇰 Denmark (ET: 2-2) (P: 3-1)

Related Posts