
Timu ya Taifa ya Italia imeshindwa kufuzu kushiriki fainali za Kombe la Dunia la FIFA Kwa mara ya tatu mfulululizo (2018, 2022 na 2026) baada ya kuondoshwa kufuatia kipigo cha penalti 4-1 dhidi ya Bosnia & Herzegovina fainali ya mchujo wa mwisho.
Kwingineko Jamhuri ya Czech imeungana na Bosnia & Herzegovina kukata tiketi ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa penalti 3-1 dhidi ya Denmark kwenye mchujo wa mwisho.
Bosnia ๐ง๐ฆ 1-1 ๐ฎ๐น Italy (P: 4-1)
โฝ 79โ Tabakovic
โฝ 15โ Bastoni
๐ฅ 41โ Bastoni
FT: Czech Republic ๐จ๐ฟ 1-1 ๐ฉ๐ฐ Denmark (ET: 2-2) (P: 3-1)
