Mtangazaji George Job Atangaza Kuachana na Wasafi FM, Aandika Haya

Mtangazaji George Job Atangaza Kuachana na Wasafi FM, Aandika Haya
Mtangazaji George Job Atangaza Kuachana na Wasafi FM, Aandika Haya

Ameandika George Job Kupitia Instagram

Kwa namna yoyote si jambo rahisi kuaga iliyokua sehemu ya familia yako kwa miaka mingi. WASAFI MEDIA shukrani kwa kuniamini, kunipa nafasi na miaka 6 ya ukuaji.

Asante kwa kila kumbukumbu, kila somo na kila hatua tuliyopiga pamoja kwa muda wote huo.

Shukrani za dhati kwa waliokua wafanyakazi wenzangu na mashabiki wangu wote mlionisikiliza, mkaniunga mkono na kunipa upendo mkubwa katika safari yangu.

Naondoka leo nikiwa na heshima kubwa moyoni mwangu. Naiombea Wasafi Media mafanikio zaidi, na kwa mashabiki wangu…muda sahihi ukifika tutakutana tena

Related Posts