
Klabu ya USM Alger ya Algeria imeibuka na ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya Zamalek ya Misri kwenye mchezo wa duru ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)
Mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki ijayo Mei 16, 2026 utaamua timu itakayotwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2025/26.
FT: USM Alger 🇩🇿 1-0 🇪🇬 Zamalek
⚽ 90+8’ Ahmed Khaldi
🟥 90+6’ Mahmoud Bentayg
NB: USM Alger ni Mabingwa wa CAFCC msimu wa 2022/23, wakitwaa Kombe hilo kwa faida ya goli la ugenini dhidi ya Yanga SC kufuatia sare ya jumla 2-2.
