
Klabu ya USM Alger ya Algeria imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa mara ya pili kihistoria kufuatia ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Zamalek ya Misri kwenye fainali iliyolazimika kuamuliwa kwa matuta baada ya sare ya jumla ya 1-1.
Aliyekuwa beki wa Simba SC, Che Fondoh Malone hatimaye, amevaa medali ya ubingwa wa CAFCC akicheza fainali yake pili mfululizo ya michuano hiyo baada ya kupoteza fainali ya msimu iliyopita, Simba ikipoteza mbele ya RS Berkane.
FT: Zamalek SC 🇪🇬 1-0 🇩🇿 USM Alger (Agg. 1-1) (Penalti 7-8)
⚽ 05’ Dabbagh (P)
