Taifa Stars Yapangwa na Nigeria Kufuzu Afcon 2027, Makundi Yote Yapo Hapa

Taifa Stars Yapangwa na Nigeria Kufuzu Afcon 2027, Makundi Yote Yapo Hapa
Taifa Stars Yapangwa na Nigeria Kufuzu Afcon 2027, Makundi Yote Yapo Hapa

Taifa Stars imepangwa Kundi L katika droo ya kufuzu AFCON 2027, kundi ambalo lina timu za Nigeria, Madagascar na Guinea-Bissau.

Ratiba ya mechi za kufuzu itakuwa kama ifuatavyo:

• Mzunguko wa kwanza na wa pili: Septemba 21 hadi Oktoba 6, 2026.

• Mzunguko wa tatu na wa nne: Novemba 9 hadi Novemba 17, 2026.

• Mzunguko wa tano na wa sita: Machi 22 hadi Machi 30, 2027.

MAKUNDI YA KUFUZU AFCON 2027

Kundi A: Morocco, Gabon, Niger, na Lesotho.

Kundi B: Egypt, Angola, Malawi, na South Sudan.

Kundi C: Côte d’Ivoire, Ghana, The Gambia, na Somalia.

Kundi D: South Africa, Guinea, Kenya, na Eritrea.

Kundi E: Congo DR, Equatorial Guinea, Sierra Leone, na Zimbabwe.

Kundi F: Burkina Faso, Benin, Mauritania, na Central African Republic.

Kundi G: Cameroon, Comoros, Namibia, na Congo.

Kundi H: Tunisia, Uganda, Libya, na Botswana.

Kundi I: Algeria, Zambia, Togo, na Burundi.

Kundi J: Senegal, Mozambique, Sudan, na Ethiopia.

Kundi K: Mali, Cape Verde, Rwanda, na Liberia.

Kundi L: Nigeria, Madagascar, Tanzania, na Guinea-Bissau.

Related Posts