Nilituma Maombi ya Kazi Zaidi ya Mia Moja Bila Kuitwa Kwenye Usahili, Mpaka Nyota Yangu Iliposafishwa na Kupata Kazi ya Mshahara Mkubwa

Kusoma kwa bidii na kupata shahada au vyeti vya elimu ni hatua inayotoa matumaini ya kupata ajira nzuri na kujenga maisha ya baadaye.

Hata hivyo, pale unapotumia miaka kadhaa mtaani ukituma maombi ya kazi kila siku bila hata kuitwa kwenye usahili (interview), maisha huanza kuwa mzigo mzito mno.

Baada ya kumaliza masomo yangu ya chuo kikuu, nilituma barua na vifungashio vya maombi ya kazi (CV) zaidi ya mia moja kwenye makampuni, taasisi za serikali, na mashirika mbalimbali.

​Hata hivyo, miaka ilipita bila majibu yoyote ya maana. Kila mara nilipoona fursa za kazi na kutuma maombi, majina yangu yalirukwa au barua zangu zilitupwa jalani.

Nilibaki nikitazama wenzangu tuliosoma nao na hata wengine waliokuwa na ufaulu mdogo kuliko wangu wakipata kazi nzuri na kupiga hatua kimaisha.

Nilianza kuishi kwa kutegemea wazazi na ndugu, nikipatwa na msongo mkubwa wa mawazo, unyonge, na aibu kila nilipokutana na watu mtaani waliokuwa wakiniuliza kuhusu shughuli ninayofanya.SOMA ZAIDI.

Related Posts