Jina langu ni Mercy. Kuishi kwenye ndoa ambayo kila siku unatishiwa kuachwa na kupewa dharau mbele ya watoto au hata ndugu ni mateso makubwa yanayoweza kumfanya mwanamke yeyote ajione hana thamani duniani.
Kwa miaka mitatu ya hivi karibuni, ndoa yangu iligeuka kuwa kama jehanum ndogo. Mume wangu aliyekuwa ananipenda kwa dhati mwanzoni alibadilika ghafla.
Akawa hana amani na mimi, alikuwa akinikaripia kwa kila jambo dogo, kunidharau, na kusema waziwazi kuwa anajuta kunioa na kwamba siku yoyote angenitimua ili alete mwanamke mwingine mwenye heshima.
Nilibaki nikilia kila usiku kwenye mto, nikijiuliza nimekosea wapi huku amani ya nyumba yetu ikiwa imetoweka kabisa.
​Nikiwa kwenye simanzi nzito na nikikaribia kufungasha virago kwa uchungu, shangazi yangu aliyekuwa akitambua mateso yangu alinitembelea. SOMA ZAIDI.
