Kila Mwanaume Aliyeniposa Alinitoroka Dakika za Mwisho Kabla ya Harusi, Mpaka Nambari Hii Iliponifungulia Nyota

Kupendwa, kuposwa, na kuvaa shela la harusi ni ndoto ya kila mwanamke anayetamani kujenga familia yenye amani na heshima. Hata hivyo, pale ambapo kila mahusiano unayoingia yanafikia hatua ya uchumba kisha yanavunjika ghafla bila sababu ya msingi, maisha hugeuka kuwa aibu na kicheko mbele ya jamii.

Kwa zaidi ya miaka sita, nilipitia mikosi ya ajabu kwenye sekta ya mapenzi. Wanaume watatu tofauti waliniposa kwa mbwembwe nyingi, tukafanya mikutano ya familia, na kupanga tarehe za harusi. Lakini kila tulipobakiza wiki chache au siku chache kufanya harusi, mwanaume alibadilika ghafla, akaanza kunichukia bila kosa lolote, na hatimaye kutoroka na kukatisha ndoa.

​Nilibaki nikiwa na simanzi nzito, aibu mbele ya wazazi na ndugu zangu, na msongo mkubwa wa mawazo. Kila nilipojitazama kwenye kioo nilijiona mrembo, mwenye elimu na tabia njema, lakini kwenye macho ya wanaume nilionekana kama kiumbe cha kutisha.

Majirani na marafiki walianza kunisengenya na kunipa majina ya kejeli wakidai nina mikosi au nimerogwa nisiolewe kabisa. Nilibaki nikijifungia ndani na kulia usiku kucha, nikipoteza kabisa matumaini ya kuwa na mume au kuitwa mama kwenye maisha yangu. SOMA ZAIDI.

Related Posts