Mkiisifia Simba, Kumbukeni Singida Black Imemla Mtu Kichwa Mabao 10 – 1

Mkiisifia Simba, Kumbukeni Singida Black Imemla Mtu Kichwa Mabao 10 - 1
Mkiisifia Simba, Kumbukeni Singida Black Imemla Mtu Kichwa Mabao 10 – 1

Singida Black Stars Kutinga Hatua Inayofuata CAFCC kwa Kishindo cha Mabao 10-1

Wakati mashabiki wa soka wakisifu mafanikio ya Simba SC katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Singida Black Stars nayo imeandika historia katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) baada ya kutinga hatua ya kwanza ya michuano hiyo kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Ghazala Wau ya Sudan Kusini katika mchezo wa marudiano.

Ushindi huo umeifanya Singida Black Stars kufuzu kwa jumla ya mabao 10-1 (Aggregate), kufuatia ushindi mnono wa mabao 7-1 walioupata katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliochezwa Septemba 6, 2026. Mafanikio haya yanaiweka timu hiyo katika nafasi nzuri ya kuendelea kukiwasha kimataifa msimu huu.

Related Posts