Tanzania Yaandika Historia CAF: Wawakilishi Wote Wanne Watinga Hatua ya Kwanza

Tanzania imeendelea kuthibitisha ukuaji wa soka lake barani Afrika baada ya wawakilishi wake wote wanne kufanikiwa kutinga hatua ya kwanza ya michuano ya CAF (Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho). Mafanikio haya yanaweka nchi katika orodha ya mataifa machache yenye utawala wa kisoka kama Misri na Morocco, ambazo zimekuwa na utaratibu wa kuingiza timu nne katika hatua za mbele za michuano hiyo ya kimataifa.

Katika Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Young Africans itakutana na CFFA ya Madagascar wakati Simba SC ikicheza dhidi ya 15 de Agosto kutoka Guinea ya Ikweta. Kwa upande wa Kombe la Shirikisho (CAFCC), Azam FC itachuana na Zed FC ya Misri huku Singida Big Stars ikivaana na Tusker FC ya Kenya. Michezo ya kwanza inatarajiwa kupigwa kati ya Oktoba 16–18, huku marudiano yakitarajiwa kuchezwa kati ya Oktoba 23–25, 2026.

ALSO READ | Simba SC Yatinga Hatua ya Pili CAFCL Kwa Kishindo Baada ya Kuifumua Mighty Wanderers 6-1

Related Posts

One thought on “Tanzania Yaandika Historia CAF: Wawakilishi Wote Wanne Watinga Hatua ya Kwanza

Comments are closed.