
Yanga Hawajakubali Kadi Nyekundu Kwa Aziz K, Kuchukua Maamuzi Haya Magumu
Binafsi nilitaka nishangae kuona ya kwamba Yangasc wanakubali kirahisi kadi nyekundu ambayo ameonyeshwa Aziz Ki
Inasemekana Yangasc wako mbioni kupeleka barua ya kukata rufaa juu ya kadi nyekundu ambayo ameonyeshwa Aziz Ki kwenye mchezo dhidi ya Geita Gold
Yangasc awajakubali kuwa ile kadi nyekundu ulikuwa sahihi na kuona ya kwamba kuna haja ya wao kukata rufaa
Hiyo ndiyo Yanga Afrika sio mchezo ni timu ambayo kuiongoza lazima upate tabu
Simba walipata kadi tatu nyekundu mfululizo lakini wala ukusikia kelele leo Yangasc mchezaji mmoja tuuh tayari milio
Yangasc wanamtaka Aziz Ki kwenye Derby ya Kariakoo
