Jina langu ni Salma. Kupatwa na maradhi yanayokunyima uwezo wa kuinuka kitandani ni jambo linalotisha, lakini kitendo cha kwenda hospitali mbalimbali na vipimo vyote vya kisasa kuonyesha hauna tatizo lolote huku mwili wako ukiendelea kuuma na kudhoofika ni mateso makubwa yasiyoelezeka.
Kwa miezi tisa mfululizo, nilikuwa nimelala kitandani nikiugulia maumivu makali ya viungo, moto miguuni, na hisia za kutembelewa na vitu mwilini.
Nilitembelea hospitali kubwa za mkoa na kufanyiwa vipimo vya damu, X-ray, pamoja na Scan, lakini madaktari wote walibaki wakishangaa kwa sababu vipimo vilionyesha niko salama kabisa. SOMA ZAIDI.
