Kuishi na mashaka ya mara kwa mara ukishuhudia rafiki yako wa karibu uliyemuamini kama dada yako wa damu akianza kuonyesha tabia za kutilia shaka, kuja nyumbani kwako mara kwa mara bila taarifa, na kumkodolea macho mume wangu ni sumu kali inayoweza kumnyima mwanamke yeyote amani ya moyo.
Kwa miaka mitatu, nilikuwa na rafiki niliyempa kila siri yangu na kumkaribisha ndani ya nyumba yangu kwa mikono miwili. Hata hivyo, kadri siku zilivyopita, nilianza kugundua dalili za hatari: mume wangu alianza kubadilika tabia, kuwa mkali kwangu, na kupitisha muda mwingi kwenye simu akichati kwa siri na huyo “rafiki” yangu.
Kila nilipojaribu kumuonya, mume wangu alikuwa akinifokea, na huyo rafiki yangu alikuwa akinicheka kwa dharau huku akionyesha wazi kuwa alikuwa ameshashika moyo wa mume wangu. SOMA ZAIDI.
