Yanga Yaamka, Yashida, Kumbe Kweli Tatizo Lilikuwa Kocha` Mpiga Miti

Wananchi, Young Africans SC wamepata ushindi wa kwanza baada ya mechi tatu za Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara wakiilaza Mashujaa FC 2-1 katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.

Wananchi wamesogea mpaka alama mbili nyuma ya vinara, Simba SC wenye mchezo mkononi, wakifikisha alama 22 baada ya mechi 9 za Ligi Kuu bara.

FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC
⚽ 21’ Shalulile
⚽ 76’ Mzize
⚽ 07’ Ngushi

Related Posts