Tenda Zote Kubwa Nilizoomba Zilikua Zikikataliwa Dakika za Mwisho, Mpaka Tiba Hii Iliponipa Ushindi Mbele ya Vigogo

Kushiriki kwenye ushindani wa kuomba tenda kubwa za serikali au kampuni binafsi, ukapambana usiku na mchana kuandaa nyaraka bora, alafu jina lako likakataliwa au kuondolewa dakika za mwisho bila sababu za msingi ni maumivu makubwa yanayoweza kukuachia hasara kubwa na kukukatisha tamaa kwenye uwekezaji.

Kwa zaidi ya miaka mitatu, kampuni yangu ilikuwa ikishiriki kwenye zabuni mbalimbali za thamani kubwa. Kila tulipofika hatua ya mwisho ya uteuzi, ambapo tulikuwa tukipewa nafasi ya kwanza kwa sifa zote, jina letu lilikuwa likipigwa chini au tenda kupewa kampuni nyingine ambazo zilikuwa na uwezo mdogo kuliko sisi.

Nilianza kuamini kuwa soko hili lilikuwa linatawaliwa na upendeleo mkubwa uliokuwa unanitesa kifikra na kiuchumi. Nikiwa kwenye masikitiko mazito baada ya kupoteza tenda nyingine kubwa ya kibenki ambayo ingebadilisha kabisa mtaji wa kampuni yangu, mshauri wangu mkuu wa biashara alikuja ofisini kwangu kunipa pole.

Baada ya kumweleza jinsi tulivyokuwa tukifeli kwenye hatua za mwisho licha ya sifa zote, aliniambia kwa sauti ya utulivu kuwa biashara kubwa na ushindani wa tenda mara nyingi hutawaliwa na nguvu za giza na fitina za kishirikina kutoka kwa washindani wanaotaka kufunga nyota ya kampuni yako isipate kibali mbele ya vigogo. SOMA ZAIDI.

Related Posts