Sasa ni Wakati wa Kutengeneza Pesa na UEFA

Sasa ni Wakati wa Kutengeneza Pesa na UEFA
Sasa ni Wakati wa Kutengeneza Pesa na UEFA

Sasa ni Wakati wa Kutengeneza Pesa na UEFA

Ile siku ambayo ulikuwa ukiingoja kwa hamu sasa imefika, mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya zimekuja kivingine kabisa, hivyo ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi la ushindi leo.

Mapema kabisa Galatasaray watamkaribisha Aston Villa kuwania pointi 3 za Ligi ya Mabingwa huku tofauti ya pointi kati yao ni 3 huku wenyeji wakiwa nafasi ya 16 na Villa nafasi ya 6. Kila timu inahitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kabla mechi hizi za mfumo wa ligi hazijaisha.

Kwenye UEFA hadi sasa vijana wa Buruk walipoteza michezo miwili ya mwanzo dhidi ya Sporting CP na Barcelona, lakini baadaye wakapata ushindi dhidi ya Lille kwa mabao 4-2 na Stuttgart kwa mabao 2-0 huku nguvu yao kubwa ikiwa ni kushambulia kwa kasi wana wana wachezaji wenye uwezo huo.

Kwa upande wa Aston Villa chini ya kocha mkuu Unai wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na pointi tisa baada ya kushinda michezo mitatu kati ya minne ya Champions League. Ushindi wao mkubwa ulikuwa wa mabao 6-0 dhidi ya Fenerbahce, jambo linaloonyesha uwezo wao wa kutumia nafasi wanapopata nafasi.

Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lakini timu hiyo imekuwa na matokeo yasiyoridhisha hivi karibuni. Hawajashinda katika michezo yao mitano iliyopita, huku wakipata sare dhidi ya Manchester United kwa mabao 4-4 na Sunderland kwa mabao 0-0.

Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Ingia kwenye akaunti na usuka jamvi lako la ushindi hapa.

Mechi nyingine ni hii ambayo itawakutanisha kati ya Arsenal dhidi ya Borussia Dortmund ya kule Ujerumani ambao wametoka kushinda kwa mbinde mechi yao ya ligi ugenini. Vijana wa Mikel Arteta wana faida ya kucheza nyumbani kwenye Dimba la Emirates huku ODDS za mechi hii zikiwa ni kubwa. Jisajili hapa.

Arsenal ni timu ambayo inasifika kwa uwezo wake mkubwa wakujilinda na kufanya mashambulizi kwa pamoja, hivyo hii ni mechi ambayo faida kubwa inaenda kwao kutokana na nafasi waliyopo hadi sasa.

Kwa upande wa Borussia Dortmund wao wanapenda kufanya mashambulizi ya kasi na kutumia nafasi chache ambazo wanazipata. Hata hivyo, safu yao ya ulinzi imekuwa ikiruhusu mabao katika michezo ya UEFA msimu huu, jambo ambalo linaweza kuwapa Arsenal nafasi ya kuwadhibu kwa makosa yao. Beti yako unaiweka kwa nani leo? Suka jamvi hapa.

Pale Etihad utapigwa mchezo wa kukata na shoka kati ya Manchester City dhidi ya Napoli ambapo vijana wa Maresca wamekuwa na kipindi kigumu hivi karibuni, wakishindwa kushinda michezo yao minne ya mwisho ya ligi. Sare ya mabao 1-1 dhidi ya Fulham mwishoni mwa wiki haikutosha kuondoa wasiwasi kuhusu kiwango chao.

Hata hivyo, City wana rekodi nzuri zaidi kwenye UEFA, wakiwa na pointi tisa baada ya michezo minne.

Wakati Napoli wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na pointi tatu pekee kwenye UEFA. Ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Torino umewapa morali, lakini kupoteza kwa mabao 4-1 dhidi ya Porto kunaonyesha changamoto zao katika kulinda lango.

Uwepo wa Kevin De Bruyne utakuwa muhimu sana. Atakuwa na nafasi ya kuonyesha ubora wake dhidi ya klabu yake ya zamani, huku Scott McTominay na Rasmus Højlund wakiwa na jukumu kubwa katika mashambulizi. Suka jamvi hapa.

 

Related Posts