Nature

Wasira: Demokrasia Siyo Ruhusa ya Kutukana Wengine

Wasira: Demokrasia Siyo Ruhusa ya Kutukana Wengine

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema uwepo wa demokrasia na uhuru wa kutoa maoni sio ruhusa ya kuvunja sheria, kutukana watu na kwamba anayefanya hivyo anastahili kuchukuliwa hatua ikiwemo kukamatwa na kuhojiwa polisi.

Amesema lengo la uhuru ni kutoa maoni na kufuata sheria ambazo zimewekwa kuifanya jamii iishi pamoja bila ya bughudha na kuondoa uwezekano wa mtu mmoja kumuonea mtu mwingine.

Wasira ameeleza hayo Juni 12, 2025 alipokuwa akizungumza na viongozi wa ngazi mbalimbali wa CCM wakiwemo mabalozi wa shina katika Jimbo la Peramiho, wilayani Songea mkoani Ruvuma.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *