Nature

Kenani Ateuliwa Kuwa Mkuu wa Mkoa (RC) Arusha, Paul Makonda Atemwa

Kenani Ateuliwa Kuwa Mkuu wa Mkoa (RC) Arusha, Paul Makonda Atemwa

Kenani Laban Kihongosi amehamishwa kutoka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha akichukua nafasi ya Paul Makonda ambaye hatma yake haijawekwa bayana.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu Leo Juni 23, 2025 imesema Rais Samia Suluhu Hassan amemhamishia Kenani Arusha huku nafasi yake ikichukuliwa na Anamringi Macha aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *