Balozi Simon Nyakoro Sirro ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma akichukua nafasi ya Thobias Andengenye, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu Leo Juni 23, 2025