Nature

Salim Kikeke Achukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo Hili

Salim Kikeke Achukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo Hili

Mwandishi Mkongwe wa Habari Salim Kikeke amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Salim Kikeke Achukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo Hili

Zoezi la uchukuaji fomu katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) linaendelea Nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

Salim Kikeke Achukua Fomu Kugombea Ubunge Jimbo Hili

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *