Nature
Kante na Diaw Usajili Bora Simba Mpaka Sasa

Kante na Diaw Usajili Bora Simba Mpaka Sasa

Alassane Kantè (24) ni ingizo zuri sana kwa Simba kwenye dirisha hili kubwa kutokana na aina ya viungo ambao walikuwepo kwenye timu yao msimu uliopita .

Kantè anasifa nyingi nzuri compare na waliotoka kwenye kikosi cha Simba : Physicality yake ni nzuri , yupo powerful , uwezo wa kusogea eneo la juu kuongeza idadi nzuri ya wachezaji then ubora wa kushinda mapambano yake ✅ Simba walikosa mchezaji ambaye amekamilika kwenye maeneo muhimu kama hayo ( Physicality , Energetic then uwezo wa kushinda mapambano yake ya 50/50 )

Huyu Khadim Diaw ajatofautiana sana na Mohammed Hussein ambaye amecheza Simba kwa ubora mkubwa tena kwa muendelezo mzuri ….. faida ya Diaw ni kimo chake , ananguvu ya kugombania mipira ya 50/50 + umri wake ni 27 maana yake kama akicheza kwenye level nzuri ya ushindani tena kwenye muendelezo hii ni Asset nzuri sana kwa Simba .

Simba kwenye dirisha hili la Usajili wanaangalia wachezaji wenye kama : Kasi kwenye maamuzi wakiw na mpira , Physicality level ya mchezaji maana ndio eneo muhimu kwenye mpira wa Afrika ukiwa na wachezaji ambao wapo slow sana na physically yao sio nzuri basi ni ngumu kushindana kwenye against vilabu vikubwa Afrika

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *