HABARI ZA MICHEZO Soka Tanzania Mshahara Mpya wa Mchezaji Fei Toto Huku Azam ni Kufuru tupu December 11, 2024 Udaku Special Inaelezwa kuwa Azam FC inajiandaa kumpa mkataba mpya kiungo wao Feisal Salum ‘Fei Toto’ utakaomfanya adumu kwenye timu hiyo hadi mwaka 2028. Mkataba huo utamfanya nyota huyo awe analipwa mshahara wa USD 12,000 sawa na Tsh million 31 Kwa mwezi. Related Posts HABARI ZA MICHEZO Aziz K Afunguka “Haikuwa Raisi Kutoka Yanga Kwenda Wydad December 13, 2025December 13, 2025 ajirayako HABARI ZA MICHEZO Kocha wa Yanga Ataki Utani, Aitisha Wachezaji Watatu Wapya December 13, 2025December 13, 2025 ajirayako