Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea nane kugombea Ubunge Jimbo la Temeke akiwemo Shafih Dauda, Mariam Nassoro, Dorothy Kilave, Bernard Mwakyembe, Fadhil , Leah Mwampishi , Mussa Ntulia
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.

