Nature
Fei Toto

Azam FC Wavunja Benki, Wampa Fei Toto Mkataba Mpya Mshahara Milioni 70 Kwa Mwezi

Azam wameshawasilisha mkataba mpya wa kufuru wa miaka 3 ‘Bumper Contract’ kwa kiungo wao Feisal Salum.

Mshahara, Milioni 70 kwa mwezi (Milioni 50 take home, Milioni 20 NSSF)
Signing-Fee, Dollar 200,000 kila mwaka kwa muda wa miaka 3 (Jumla Dola 600,000)
Ubalozi kwenye Makampuni ya Azam, ambapo atapokea Milioni 200 kila mwaka.
Nyumba Masaki na Gari mpya.
Package yote hiyo kwa muda wa miaka 3 inafika Shilingi Bilioni 5

Anasubiriwa Feisal tu kufanya maamuzi juu ya Contract Proposal hiyo na uwezekano wa kuusaini mkataba huo ni mkubwa.

Imeandikwa Haatimabdul mchambuzi kutoka WASAFI MEDIA

Related Posts