Nature
Maua Sama Aandika Mazito "Napitia Vipigo na Manyanyaso Kwenye Mahusiano Yangu, Naumia"

Maua Sama Aandika Mazito “Napitia Vipigo na Manyanyaso Kwenye Mahusiano Yangu, Naumia”

Maua Sama ameandika Haya Kuhusu Kupitia Kipindi Kigumu Kwenye Mahusiano yake:

Habari za Muda huu mashabiki zangu ,ndugu na marafiki ni muda sasa napitia kati hali isiyo nzuri kwenye mahusiano yangu,(toxic relationship)
Nawekeza muda mwingi kumpenda mtu Nampa kila kitu na lakini sioni matumaini ya kupendwa ,
Sijawahi kuwafungukia kuhusu mahusiano yangu ila inafika pahala nanyoosha mikono juu …!! SIWEZI TENA

Related Posts