Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!
HABARI ZA MICHEZO Sports News

Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!

August 3, 2025August 3, 2025 Udaku Special

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao kwa kumsajili kiungo mshambuliaji kutoka Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Mohamed Bajaber.

Bajaber (miaka 22), ambaye alikuwa akikipiga Kenya Police FC, amesaini mkataba wa miaka miwili ambao utamuweka Msimbazi hadi Juni 2027.

Ni sehemu ya mikakati ya Wekundu wa Msimbazi kujenga kikosi imara kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

TETESI za Usajili: Simba Kumsajili Prince DUBE Kuchukua Nafasi ya Doumbia

October 20, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Manara Aomba Radhi Kwa Mashabiki

October 19, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Tanzania Yamfunga Borkina Faso 2 Bila Mashindano ya CHAN
Next: Magereza Yakanusha Kumsukuma Lissu, Yatoa Maelezo Rasmi

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • KUMEKUCHA: Mwanaume Akikuomba Vitu Hivi 3 Jua Hamna Upendo Hapo Kimbia

  • Makala Nzima Kuhusu Baltasar Ebang Engonga, Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 400 na Kurekodi

  • Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

  • Laurence Kweka Aliyeua Mkewe Bunju Afikishwa Mahakamani

  • Cristiano Ronaldo Afikisha Mabao 981, Abakiza Mabao 19 Pekee Kufikia Record ya Mabao 1,000

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.