Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!
HABARI ZA MICHEZO Sports News

Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!

August 3, 2025August 3, 2025 Udaku Special

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao kwa kumsajili kiungo mshambuliaji kutoka Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Mohamed Bajaber.

Bajaber (miaka 22), ambaye alikuwa akikipiga Kenya Police FC, amesaini mkataba wa miaka miwili ambao utamuweka Msimbazi hadi Juni 2027.

Ni sehemu ya mikakati ya Wekundu wa Msimbazi kujenga kikosi imara kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Meridian Sportstz APP: Habari za Michezo Kiganjani Mwako

September 29, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Sudan Mabingwa CECAFA U-20 Baada ya Kuifunga Tanzania Kwa Penati

September 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Tanzania Yamfunga Borkina Faso 2 Bila Mashindano ya CHAN
Next: Magereza Yakanusha Kumsukuma Lissu, Yatoa Maelezo Rasmi

Popular Posts

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Hizi Hapa Faida Kubwa za Bamia Mwilini mwa Binadamu

  • Kwa Nini Marubani wa Ndege Hula Chakula Tofauti Wanapokuwa Safarini?

  • Paul Makonda Afunguka Kuhusu Dudu Baya na Kauli zake za “You Better Watch Your Back”.

  • BASATA Yawashusha Rungu Harmonize, Nandy, Sanga na Waandaaji wa Matukio

  • Zitto Kabwe Achafukwa “Mnajadili Kuhusu Jezi Mnaisahau Taifa Stars, Ndio Maana Mmefungwa”

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.