Nature

Musiba Ajitokeza na Kuomba Radhi Kwa Wale Wote Aliowaumiza Katika Harakati za Siasa

“Watu wananisema eti wewe ulikuwa unawaombea wenzako mabaya. Inawezekana nilikuwa kijana sana. Sasa hivi nimekuwa mtu mzima — akili zinakua, unabadilika, unakuwa na busara. Unajua kadri unavyozidi kukua, ndivyo unavyopata hekima, busara na utu. Wakati mwingine ujana sio mchezo,

Musiba yule uliyekuwa unamjua miaka saba iliyopita sio Musiba huyu. Inawezekana kipindi kile niliwakera sana watu, nikiwa kijana mdogo. Naomba wanisamehe, mimi ni binadamu,”

— Mwanaharakati huru Cyprian Musiba, akizungumza Jijini Dodoma.

Related Posts