Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • CAF Yatoza Kenya Faini ya Milioni 127, Yaonya Kuhamishia Mechi Nje
HABARI ZA MICHEZO

CAF Yatoza Kenya Faini ya Milioni 127, Yaonya Kuhamishia Mechi Nje

August 14, 2025August 14, 2025 Udaku Special

Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) imeipiga Kenya faini ya dola 50,000 za Marekani (sawa na takribani TZS milioni 127.8) kutokana na makosa ya kiusalama yaliyojitokeza katika mchezo dhidi ya Morocco uliofanyika kwenye Uwanja wa Moi, Kasarani.

CAF imeonya kuwa iwapo kasoro hizo zitaendelea, mechi zijazo za timu ya taifa ya Kenya zinaweza kuhamishiwa nchini Uganda au Tanzania.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

PEP Guardiola Kuondoka Man City Mwisho wa Msimu Huu

May 19, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Neymar JR Ajumuishwa Kikosi cha Brazil Kombe la Dunia

May 19, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Watu 25 Wafukiwa na Kifusi Shughuli za Ukarabati Mgodi Shinyanga – Video
Next: Serikali Yaomba Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu Isisitishwe Kuonyeshwa Mubashara

Popular Posts

  • Siri Yafichuka! Diamond Kutoka Kimapenzi na Dada wa Dodoma Aliyempatia Ua kwenye show? Zuchu vipi?

  • A Tanzanian Gold Dealer is the Prime Suspect in the Murder of University Student, Alice Rianga in Kenya

  • Yanga Awaamini Kilichotokea, Wapigwa Bao Tatu Kwa Mbili na Dodoma Jiji….

  • Okello Ampiku Pacome Zouzoua na Idd Selemani Kwenye Tuzo ya Mwezi

  • Jasinta Makwabe Aweka Wazi Aina ya Mwanaume Anayemtaka

  • Maoni kuhusu mwonekano wa Zuchu, mimba yatajwa

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.