
Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars imesukumizwa nje ya michuano ya kombe la Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN2024 kufuatia kipigo cha penalti 4-3 dhidi ya Madagascar kwenye mchezo wa robo fainali katika dimba la Moi Sports Centre, Kasarani.
FT: Kenya 🇰🇪 1-1 🇲🇬 Madagascar (P 3-4)
⚽ 48’ Omija
⚽ 69’ Razafimaro (P)

