
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS Boniface Mwabukusi amesema mabadiliko ‘reforms’ yaliyofanyika kuelekea kwenye uchaguzi hayatoshi akidai kuwa mabadiliko hayo hayajafanywa katika maeneo ya muhimu.
ALSO READ | Ally Kamwe Afichua Watatu Wafukuzwa Simba Kwa Sababu ya Jezi Kuvuja
Akizungumza leo Agosti 26, 2025 Mwabukusi amesema “tatizo lipo na marekebisho yalifanyika lakini kuna maeneo muhimu ambayo yaliyotakiwa kufanyiwa marekebisho yaliyokuwa na changamoto za kweli hayakufanyiwa marekebisho” amesma Mwabukusi
“Kwa hiyo hoja ya CHADEMA kwamba kuna changamoto katika reform ni halali huwezi kuipuuza” ameongeza Mwabukusi
ALSO READ | TLS: Tutashirikiana na Poleple Kuhusu”Mifumo ya NIDA, INEC na CCM

