Rais wa TLS Boniface Mwabukusi Adai Askofu Gwajima Hana Kosa Kufungiwa Kanisa
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society – TLS), Boniface Mwabukusi amejitokeza kulizungumzia sakata la kusitishwa kwa usajili wa kanisa la Askofu Josephat Gwajima, akisema hakuna sheria iliyovunjwa…