
Kupitia kwenye kipindi chake cha Recap Mtangazaji El Mando amesema kuwa kwa sasa ni ajabu na aibu sana kuona Diamond Platnumz akijibizana na msanii yoyote kutoka Tanzania au Afrika Mashariki.
Anasema level zake ni kubwa mno na wasanii ambao walau anatakiwa kujibizana nao mitandaoni ni kama Wizkid, Burna boy, Davido na wengine.
Kujibizana na wasanii wa Afrika mashariki au Tanzania ni kujivunjia heshima kwake yeye, amepambana kwa miaka mingi sana anatakiwa ale matunda yake.
ALSO READ | Mbosso Yamfika Hapa, Awashukia Vikali Diamond Platnumz na Babu Tale…

